Castr
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 32,000
- 64,045
Nigga mbona una mapepe sana?MUWENI MAKINI KUNAWATU WANA MULTIPLE IDS MTAPIGWA HAPA JF HAMTAAMINI
Unataka tv au ps au unataka kuita watu matapeli?
Nigga mbona una mapepe sana?MUWENI MAKINI KUNAWATU WANA MULTIPLE IDS MTAPIGWA HAPA JF HAMTAAMINI
Hasa huyu apa muepukeni tapeli mkubwaNigga mbona una mapepe sana?
Unataka tv au ps au unataka kuita watu matapeli?
Nani?Hasa huyu apa muepukeni tapeli mkubwa
Da sio tapeli Kweli
Kaka samsung crystal inches 55 mpka Dar ni bei gani kwa sasa???0777650286 tumia hii ya zantel ndo nakua nayo karibu mda wote, hata wasap hii ya zantel
Huyu Jamaa ni mtu poa sana,Mimi nilienda hadi dukani kwake mtendeni nikachukua inch 55 tcl mwaka Jana mwshoni,ni mtu.muaminifu Sana wakuu,Kama atakuja hapa atakumbuka,nilienda kujidaidia msikiti wa karibu nikapata msalaNa simjui hanijui
Mala ya kwanza nlituma 750000 mala ya pili 320 na mambo fresh tu
Samsung 55 shilingi ngapi mpaka dar?Hisense 50" 1m
lg 49" 1.2m
hisense 43" 800000
lg 43" 1m
hizo ni zote ni 4k na bei ni mpaka tunakufikishia hapo keko
Now 1.6mSamsung 55 shilingi ngapi mpaka dar?
smart
hahahhaha nakumbuka sana mkuu, siku ulijiskia vbaya mno baada ya tukio lileHuyu Jamaa ni mtu poa sana,Mimi nilienda hadi dukani kwake mtendeni nikachukua inch 55 tcl mwaka Jana mwshoni,ni mtu.muaminifu Sana wakuu,Kama atakuja hapa atakumbuka,nilienda kujidaidia msikiti wa karibu nikapata msala
Used au new..smart au normalWakuu naomba bei elekezi ya Boss au TCL inch 43.
Mpya, normalUsed au new..smart au normal
Ahsante kiongozi,inch 50 unauzaje?Now 1.6m
hatuna mkuuAhsante kiongozi,inch 50 unauzaje?
Chini ya 55 mna ipi mkuu?hatuna mkuu
hatunaChini ya 55 mna ipi mkuu?