Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

Na simjui hanijui
Mala ya kwanza nlituma 750000 mala ya pili 320 na mambo fresh tu
Huyu Jamaa ni mtu poa sana,Mimi nilienda hadi dukani kwake mtendeni nikachukua inch 55 tcl mwaka Jana mwshoni,ni mtu.muaminifu Sana wakuu,Kama atakuja hapa atakumbuka,nilienda kujidaidia msikiti wa karibu nikapata msala
 
hahahhaha nakumbuka sana mkuu, siku ulijiskia vbaya mno baada ya tukio lile
 
Similar Discussions

27 Reactions
Reply
Back
Top Bottom