Special thread: Vikaragosi vya Masoud Kipanya

Mchina anaibia tu kwa nyuma hapo anawaza nitumie kifo cha mende au chuma mchicha 😘😘😘 mama Tanzania bwana
 
Alichoamua kuking'oa/ fyeka, hakumalizia na shina, linaanza kuchipua tena.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…