Special thread: Vikaragosi vya Masoud Kipanya

hii picha ina maana nyingi sana ila kikubwa nahisi anataka kusema nigeria/yanga wamekuwa wakali ki soka kama koboko/swila/kifutu

NB: jamaa ni walaghani/wachonganishi na chanzo cha matatizo yote taangu walipo umbwa upya 1977
 
Ndio maana Kagame kapiga marufuku vikaragisi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]


Siingii katika mtego wa "kutafasiri" alichomaanisha Kipanya![emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…