Lukataluko
JF-Expert Member
- Nov 20, 2017
- 1,345
- 1,573
Tamko ni sharia haihitaji msaada. Kama hujaweka hata dukani unataka ugomviHivi lile tamko la DAB la kutaka kila ofisi iliyopo jijini dar kuwa na picha ya mkulu iliishia wapi?
Kusema ukweli wengi hatujui kesho yetu,ukiponapona kwenye mavyeti feki msala unabaki kutumbuliwa na wa teule wa mh, coz awamu hii n ya fukuza ,kamata ,weka ndani, simamisha kazi, Mungu atuvushe sarama.
Je ilitekelezwa?Tamko ni sharia haihitaji msaada. Kama hujaweka hata dukani unataka ugomvi
Ofisini unaenda na themos wateja utawahudumia viip
Hao wananchi wamekunywa chai saa ngapi?Ina maana ukihudumia wananchi huruhusiwi kunywa chai?!
Kwa hiyo unataka mtoa huduma awapangie wapewa huduwa muda wa kunywa chai?Hao wananchi wamekunywa chai saa ngapi?
Ewaaa hapo sasa upo sahihi mkuu.Ambayo unainunua kwa pesa yako hivyo ni mali yako
Kama wapewa huduma wamekunywa chai mapema nini kinamzuia mtoa huduma kunywa chai mapema?Kwa hiyo unataka mtoa huduma awapangie wapewa huduwa muda wa kunywa chai?
zaidi ya asilimia 80Je ilitekelezwa?
zaidi ya asilimia 80
Hivyo TBC ikikosea jina lako ukawa miongoni mwa waliotumbuliwa huna haja ya kuwahi ofisini jumatatu kwenda chukua mali zako binafsi. Ikiwa umehamishiwa kitengo kingine huna haja kuzunguka mjini kutafuta picha hiyo kwani unatoka nayo home tiyari kuitundika.Ewaaa hapo sasa upo sahihi mkuu.
Wacha kudanganya watu wewe
Nimemdanganya nani tena jamani?? Si uzungukie maofisi yote na hata maduka ya Samora Ev. ujionee?? Zipo 5 zimeanggikwa juu. Wengine huzifukizia uvumba. Nnani hampendi??
Nimemdanganya nani tena jamani?? Si uzungukie maofisi yote na hata maduka ya Samora Ev. ujionee?? Zipo 5 zimeanggikwa juu. Wengine huzifukizia uvumba. Nnani hampendi??
Ingekuwa Rwanda angefungwa.Mwana katuni Kipanya bado anaendelea kutufumbua macho kufuatia kinacho endelea kwenye taasisi za umma kila uchaoView attachment 884915
Irrelevant comparingKama wapewa huduma wamekunywa chai mapema nini kinamzuia mtoa huduma kunywa chai mapema?
Njoo na sababu ya kwa nini iwe irrelevant usipinge kibavichaIrrelevant comparing