Huyu bibie kuna tatizo
Tafsiri yake ni kuwa wale askari waliompiga mwandishi hawafahamikiAise. Unasogea karibu wakati anapiga risasi. Kipanya
Ni wiki ya pili sijui kinachoendelea ktk local channels.
itanibidi nifanye hivyo, ila nitakuwa na rundo la madishi kwenye paa. Hawa jamaa wameshindwa kabisa fikia makubaliano ving'amuzi vingine pia vikawa na hizi channels?Nunua startimes
atazame TBC1Nunua startimes
itanibidi nifanye hivyo, ila nitakuwa na rundo la madishi kwenye paa. Hawa jamaa wameshindwa kabisa fikia makubaliano ving'amuzi vingine pia vikawa na hizi channels?
Star times wanaonyesha TV inayebore ya TBC1π π πNunua startimes
Star times wanaonyesha TV inayebore ya TBC1π π πNunua startimes
Anaevutwa anapata tabu sanaHiyo picha ya mwisho nimecheka sana naona jamaa anapelekwa mpelampela
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app