Sema we ndie hukuelewa! hao ni wateule wa aliye juu.
Kipanya anajuwa anachofanya, hahaha, asante kwa tafsiri...Serikali inatuchezesha segere
tukutane centroSerikali inatuchezesha segere
Hivyo vimdoli watu wa moshi waliviita joyce wowowo. Hahahaaa. Tulipotoka!Ha ha ha, kanikumbusha kuna vi midoli tulikuwa tunaviita mama nabela!
Controller unashika kamba unakuwa unavuta kamba kulingana na unavyotaka mdoli ucheze.
Joisi wowowoKuna yule dada alikuwa na jina nimelisahau!! Anakatika kulingana na mvuta kamba anavyotaka...
Hivyo vimdoli watu wa moshi waliviita joyce wowowo. Hahahaaa. Tulipotoka!
Hivi ni vikaragosi vinavyochezeshwa kisiasa kama Jerry wa Dom na Harakaharaka wa Dar.
Uje na Innatukutane centro
Yupo oysterbay.Uje na Inna