Special thread: Vikaragosi vya Masoud Kipanya

imenikumbusha Joyce wowowo na dogo mmoja mjanjamjanja tulimuita Kalikenye...
anataka kumaanisha nini? kuna watu wanaendeshwa au...
 
Hawa ni wakuu wa mikoa na wa wilaya wanachezeshwa na mkulu anavyotaka
 
mbona inaelewekayaani hawawezi kufanya maamuzi bila kamba inayoongozwa na mtu mwingine,yaani kifupi hawana uwezo wa kufanya lolote bila anayewa control kwa kutumia kamba kufanya hivyo
We jamaaaa ungefaulu IQ test aiseeeee.
Ni kweli hao wawaezifanya movement yeyote bila kuchezeshwa na mshika kamba.
 
Kila mtu anachezeshwa kwa styl ake, anaechezesha haonekan.. eote wanaonekana kupata tabu iwe jwa aliekaa tuu, kutembea, mkandarasi/mwajiriwa, n.k
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
hahaa ivo vimdoli wenzetu wazambia wanaviita "kalelanda" najiuliza sasa anayevichezesha ni nani apo
 
Sio lazima iwe serekali. Na wengine pia, mjaribu kumsukiliza anapozungumza kokote kule.. Masudi yupo upande Fulani..
 
mbona inaelewekayaani hawawezi kufanya maamuzi bila kamba inayoongozwa na mtu mwingine,yaani kifupi hawana uwezo wa kufanya lolote bila anayewa control kwa kutumia kamba kufanya hivyo
kweli wewe ni genious
 
hahaa ivo vimdoli wenzetu wazambia wanaviita "kalelanda" najiuliza sasa anayevichezesha ni nani apo
Mkuu kweli humjui
Umepatia sehemu ya A ya swali ambayo ni ngumu..
Npe mji Mkuu nikusadie sehemu B..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…