Special thread: Vikaragosi vya Masoud Kipanya

Masoud yuko 1 Century ahead
What is new is his works, absolutely normal. Desperation is resulting you guys to worship whatever, regardless of of its ordinality!

Pawel Kuczynski is a genius, check some of his works, your mind will be blown away in provoking thoughts.



















Now, this is genius! It provokes you to think!
 

Wewe always uko bias mbona dikteta uchwara hana akili??
 
Huoni creativity kwakuwa anampinga dikteta uchwara
Okei.
Ni mtazamo wangu ila hana ubunifu. Ishu ni kwamba ninatumia mitandao ya kijamii kuona na cartonists wa nje wanafanyaje ktk kuongeza ubunifu, kipanya ajifunze kuwa unpredictable.
 
Anajitambua kwenye taaluma yake siyo kama wale kina Mayalla
Usiwe kisiwa, vuka boda kupitia hata mitandaoni. Utajifunza mengi, tatizo lako nolionalo ni umezungukwa na kuta za ufipa, haujipi nafasi ya kufikiri nje ya hizo kuta.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…