Special thread: Vikaragosi vya Masoud Kipanya

Badala ya kusaidia chama kinadidimia ni wewe na vikatuni tu safari hii lazima muungane na dkt titto mirembe!
 
Enock: Naam asante sana Mwl Kashasha kwa maelezo mazuri kuhusu kilichotokea hivi punde na kusababisha wachezaji wawili kuonyeshwa kadi nyekundu, lakini Mwl Kashasha rafu ya namna hii iliwahi kutokea huko nyuma.
Mwl Kashasha: Enock rafu ya namna hii aliwahi kuchezewa mchezaji anaitwa Kunde Yekete kwenye miak ya themanini.
 
Yaani mtu hata kiwanda cha Juice Baridi huna lakini kila mwaka wewe ni kutetea wenye viwanda...... ha ha ha ha haha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…