JUAN MANUEL
JF-Expert Member
- Nov 26, 2010
- 8,521
- 18,353
Hilo ndio la maana mkuu kuliko yote endelea kutafta mahelaAhsante mkuu, ila ipo siku ntajilipua nikutimbie huko, ngoja nitafute nguvu za kiume kwanza[emoji385] [emoji384] [emoji383] [emoji383] [emoji383] [emoji385]
Kazi na dawa.....Hilo ndio la maana mkuu kuliko yote endelea kutafta mahela
KwahiyoooooKuna wajanja walitaka kutuupiga hapa, nikaasema ngoja nifatilie mwenyewe mchakato wa tenda hii ili tuokoe hela za watanzania maskini, kwa hyo ndugu zangu, ktk huu mradi tumeokoa bilion 80 na ushehe... Wa kununa wanune, nami ndiyo nimeshaamua kwa niaba ya walionipgia kura...
Pwa pwa pwa!
JPM wanyooshe baba, mpk watembelee ukucha.
Kuna jamaa yangu mmoja yuko kwenye chama nilikuwa nachati kwa telegram.. Anasema, msukuma kabana ulaji hadi wa kwenye chama.. Yani malipo yote ya mirad ya chama inalipwa kwenye akaunti ya chama.. Frem za biashara za chama, wapangaj wanalipa direct kwenye akaunt ya chama... Hazipitii kwenye mkono wa wajanja.. Kiufupi mkulu kawabana kotekote... Pamoja na mapungufu yake mengne, ila kwenye ktengo cha kubana mwanya kawabana had koo
Home land Referal Hospital and International AirportHela za watumishi hewa
Hizo zinazobanwa zinaenda wapi? Zinatumikaje?Kuna wajanja walitaka kutuupiga hapa, nikaasema ngoja nifatilie mwenyewe mchakato wa tenda hii ili tuokoe hela za watanzania maskini, kwa hyo ndugu zangu, ktk huu mradi tumeokoa bilion 80 na ushehe... Wa kununa wanune, nami ndiyo nimeshaamua kwa niaba ya walionipgia kura...
Pwa pwa pwa!
JPM wanyooshe baba, mpk watembelee ukucha.
Kuna jamaa yangu mmoja yuko kwenye chama nilikuwa nachati kwa telegram.. Anasema, msukuma kabana ulaji hadi wa kwenye chama.. Yani malipo yote ya mirad ya chama inalipwa kwenye akaunti ya chama.. Frem za biashara za chama, wapangaj wanalipa direct kwenye akaunt ya chama... Hazipitii kwenye mkono wa wajanja.. Kiufupi mkulu kawabana kotekote... Pamoja na mapungufu yake mengne, ila kwenye ktengo cha kubana mwanya kawabana had koo
Yupi sasa?Huyu Bwana watamuundia zengwe hivi karibuni
Tairi ua mbele ya gari yake itabust akiwa kwenye mwendo kasi na uchunguzi utaendelea
Kwenye miundo mbinu hasa barabara na viwanja vya ndege na reliHizo zinazobanwa zinaenda wapi? Zinatumikaje?
Kweli tunaisoma nambariZinapelekwa chattle
we ndio huelewiDaaah sasa mbona habari nyenyewe imekaa kiuchoyo tu haieleweki funguka mkuu
Mtu kama le mutuz hawezi kuelewaShukrani za pekee ziendelee kumfikia mchora katun maarufu kama Kipanya kwa kuendelea na fimbo zake
Umeonaeeeeeeee?we ndio huelewi