Mukulu wa Bakulu
JF-Expert Member
- Aug 12, 2014
- 4,050
- 12,968
Hilo Tatizo Kp analo sana, yamkini si tatizo, niligundua Jamaa anamuelewa mtu mapema sana na anajisahau akidhani na wote tupo hivo, kiasi kwamba anaweza hata kusahau swali alilouliza na likapotea juu juu kwa sababu ya kumjaza mteja wao mambo mengi kwa wakati mmoja! Huyo mdada wakuitwa Barbra anakaubabe fulani hivi ulonitoa kwenye UsiKilizaji wa kipindi chao.Naona wabongo tu wagumu kupokea constructive criticism. Kama anachosema mdau ni kweli ni vyema wanahabari wetu wote wajifunze na kubadilika.
Ni Kweli kabisa hilo likichogo limepigwa Mpaka limeanguka chini ila linasaidiwa na watu wa Nissan nyeupeView attachment 686720
View attachment 686721
Wachora katuni bwana sijui huwa wanafikiria nini?
Sasa kile kisu cha nini nje ya ulingo?
Huyo mwenye kisu ni Dr Slaa, yuko pembeni anaangalia mpambano akiwa upande wa John.View attachment 686720
View attachment 686721
Wachora katuni bwana sijui huwa wanafikiria nini?
Sasa kile kisu cha nini nje ya ulingo?