Alafu Mtu Kaenda Na Maji ! Hizi Siasa Ni Za Kuchezea Watu Akili. Wamepima Wakaona Watapoteza Nyingi Sana Zitaenda Kwa Wale Wa Upande Wa Pili. Ulikuwa Ni Mtaji Wa Kura Kwa Upande Wa Pili. Kama Ni Kulinda Kura Zisipotee Basi Na Kero Zingine Za Wananch Zilizoundwa Kwa Makusudi Yake Ziondolewe
nyapala aliyechoka.... anatumia nguvu badala ya akiliIla kwa hili kafeli kinyama !
bora kuzaliwa Kenya tu..wakenya hawana haya maujinga
Kama Kikokotoo [emoji40][emoji850][emoji23][emoji1787][emoji1787]Habari wanajamvi, binafsi nimekuwa muumini mkubwa wa katuni hasa kutafakari ujumbe wake. Hv karibuni kumekuwa na wachoraji wengi wakiongozwa na Masoud Kipanya.
Tushee katuni/vibonzo humu na kutafakari kwa pamoja jumbe zake.View attachment 980087
Sent using Jamii Forums mobile app
Una utani na mtuHabari wanajamvi, binafsi nimekuwa muumini mkubwa wa katuni hasa kutafakari ujumbe wake. Hv karibuni kumekuwa na wachoraji wengi wakiongozwa na Masoud Kipanya.
Tushee katuni/vibonzo humu na kutafakari kwa pamoja jumbe zake.View attachment 980087
Sent using Jamii Forums mobile app
Kikokotooo huyu Mary isaka alikuwa anajisikia sana pale ssra
Kikokotooo huyu Mary isaka alikuwa anajisikia sana pale ssra
Tengeneza tatizo, likiwa kubwa liweke kiporo mpaka karibia na uchaguzi mkuuHabari wanajamvi, binafsi nimekuwa muumini mkubwa wa katuni hasa kutafakari ujumbe wake. Hv karibuni kumekuwa na wachoraji wengi wakiongozwa na Masoud Kipanya.
Tushee katuni/vibonzo humu na kutafakari kwa pamoja jumbe zake.View attachment 980087
Sent using Jamii Forums mobile app
mhhhh kipanya katika ubora wakeHabari wanajamvi, binafsi nimekuwa muumini mkubwa wa katuni hasa kutafakari ujumbe wake. Hv karibuni kumekuwa na wachoraji wengi wakiongozwa na Masoud Kipanya.
Tushee katuni/vibonzo humu na kutafakari kwa pamoja jumbe zake.View attachment 980087
Sent using Jamii Forums mobile app
Hustahili hata jibu,stahili yake ajitambueKIKI ZA MEMBE NA UFIPA WOTE 2020 KWISHNEEE...!
TENGENEZENI TATIZO LA USHOGA JINSI MNAVYOTUMIWA NA MABEBERU KUUTETEA AFU MUUKATAE GHAFLA ILI BAVICHAA MUWE MMEPATA KIKI ZA SIASA ZA KIMATAIFA KAMA BABA YENU WA TZ.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi tunakaribia kwenye sanduku,matamko mazuri mazuri na mengine magumu ya wananchi yanaweza kurekebishwaAlafu Mtu Kaenda Na Maji ! Hizi Siasa Ni Za Kuchezea Watu Akili. Wamepima Wakaona Watapoteza Nyingi Sana Zitaenda Kwa Wale Wa Upande Wa Pili. Ulikuwa Ni Mtaji Wa Kura Kwa Upande Wa Pili. Kama Ni Kulinda Kura Zisipotee Basi Na Kero Zingine Za Wananch Zilizoundwa Kwa Makusudi Yake Ziondolewe