Super women 2
JF-Expert Member
- Nov 16, 2016
- 5,164
- 6,554
inamaana na Ndo maana kaichora.Nilisoma ndiyo ila sio kwamba kuchorachora ni fasihi.
Umepata kuelewa hiyo picha? Hiyo picha haina maelezo yoyote yale ya moja kwa moja zaidi ya kila mtu ataisemea kwa namna aijuavyo.
Kuna picha huwa anachora zina maana ila nyingine anajichorea tu ili tuone ni Jiniazi.inamaana na Ndo maana kaichora.
HahahahahahaMkuu, huyo ni tai kutoka sayari ya mbali nini, au macho yangu yame exipaya?
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3].Mkuu, huyo ni tai kutoka sayari ya mbali nini, au macho yangu yame exipaya?
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Nimeelewa sasa.Ukiitazama vzr hiyo picha utaona mbuni aliyeficha kichwa
Pia,utamwona tai
Huyu mbuni anawakilisha upinzani na tai anawakilisha ccm
Ccm (tai) anataka kuudhuru upinzani (mbuni) lakni haoni chanzo cha mbuni ambacho ndyo kichwa!
Mi nimemwelewa kichwa cha huyo kuku jogoo kiko mndukuniKuna baadhi ya katuni hata yeye hujichorea tu ili tumwone GENIUS.
Sasa hii ina maana ipi hata haielezei lolote. Zaidi zaidi kila mtu atakuja na hisia zake humu.
Nilisoma ndiyo ila sio kwamba kuchorachora ni fasihi.
Umepata kuelewa hiyo picha? Hiyo picha haina maelezo yoyote yale ya moja kwa moja zaidi ya kila mtu ataisemea kwa namna aijuavyo.
Hapo nini ambacho haujaelewa?Kuna baadhi ya katuni hata yeye hujichorea tu ili tumwone GENIUS.
Sasa hii ina maana ipi hata haielezei lolote. Zaidi zaidi kila mtu atakuja na hisia zake humu.
Hapo nini ambacho haujaelewa?
Kamdai ada uliyomlipa huyo aliekufundisha kuhusu fasihi (kama ulichokiandika hapa ndio maana ya fasihi aliyokufundisha).
Mkuu, huyo ni tai kutoka sayari ya mbali nini, au macho yangu yame exipaya?
Sikulipa ada.
Mi nimemwelewa kichwa cha huyo kuku jogoo kiko mndukuni
Kijani kina menoSorry ni hii picha wakuu.View attachment 967226
Basi alikupotezea muda wako.
Asante wewe uliyeenda kusoma pasi kupoteza muda.
Naomba nipe maana ya hiyo picha.
Brother nimeomba unielezee hiyo picha! sijataka kuimbiwa mashairi.Naweza kukupa lakini si lazima uelewe nitakavyokusudia uelewe (sio kwa kuwa huna uwezo wa kuelewa ila ni kwa kuwa uelewa wa fasihi unategemea mambo mengi tu).
Kuficha kichwa(kivyovyote vile) huku uko exposed and vulnerable na myama mwenye uwezo(probably na nia pia) wa kukutafuna ameshakufikia, hapo ni kwamba unacheza makida makida tu.Nipe maelezo nijue ana maana gani.
Hujasoma, huwezi kujibu hivi, kazi ya fasihi lazima kila mmoja aitafsiri kivyake kam ineleweka kirahisi hiyo sio fasihi, hiyo picha ni sawa na kukimbia tatizo ukidhani litajitatua ila ukweli linabaki pale pale, na ukiibuka unalo, au ni sawa na kuambiwa kitu then unaziba masikio kwa viganja ili usisikie, hiyo inakuwa sio suluhu ila tatizo lnabaki pale pale, sasa jiulize nani anaambiwa ila anajifanya kutosikia, hapo ni juu yako! Kwa kidhungu wanasema "running awaya from a problem it is not of solving it" tatua tatizo na sio kuzamisha kichwa ardhini maana ukiibuka unakumbana nalo linakusubiriNilisoma ndiyo ila sio kwamba kuchorachora ni fasihi.
Umepata kuelewa hiyo picha? Hiyo picha haina maelezo yoyote yale ya moja kwa moja zaidi ya kila mtu ataisemea kwa namna aijuavyo.
Time will tell,acha tuendelee kujitoa ufahamu.Brother nimeomba unielezee hiyo picha! sijataka kuimbiwa mashairi.