machomanne
JF-Expert Member
- Feb 22, 2017
- 822
- 927
Kuku baada ya kuona mnyama mkali, kaamua kuficha kichwa mchangani wakati mwili wote Uko nje. Ni Sawa na mwizi aliyekurupushwa akajificha kwenye shamba la karanga.Kuna baadhi ya katuni hata yeye hujichorea tu ili tumwone GENIUS.
Sasa hii ina maana ipi hata haielezei lolote. Zaidi zaidi kila mtu atakuja na hisia zake humu.
Naomba unipe chochote ulichogundua kwenye hii picha.Kuku baada ya kuona mnyama mkali, kaamua kuficha kichwa mchangani wakati mwili wote Uko nje. Ni Sawa na mwizi aliyekurupushwa akajificha kwenye shamba la karanga.
Huyu kipanya nafiki kweli. Wanadai alijisuguaga na msasa kwenye paji lake uso awe na ile alama niksda asifiwe eti mtu wa sala na diniKuna baadhi ya katuni hata yeye hujichorea tu ili tumwone GENIUS.
Sasa hii ina maana ipi hata haielezei lolote. Zaidi zaidi kila mtu atakuja na hisia zake humu.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Huyu kipanya nafiki kweli. Wanadai alijisuguaga na msasa kwenye paji lake uso awe na ile alama niksda asifiwe eti mtu wa sala na dini
Kama wewe hueleweki,utamuelewaje mwenzio?Kwakweli huyu bwana kumuelewa inakuwaga ngumu sana.
Naomba aliyeelewa.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Huyu kipanya nafiki kweli. Wanadai alijisuguaga na msasa kwenye paji lake uso awe na ile alama niksda asifiwe eti mtu wa sala na dini
Du, picha tu aliyoichora, kashfa yake imekwenda kwenye Dini yake[emoji848]Huyu kipanya nafiki kweli. Wanadai alijisuguaga na msasa kwenye paji lake uso awe na ile alama niksda asifiwe eti mtu wa sala na dini
Jaribu kifikiria kidogo.Kuna baadhi ya katuni hata yeye hujichorea tu ili tumwone GENIUS.
Sasa hii ina maana ipi hata haielezei lolote. Zaidi zaidi kila mtu atakuja na hisia zake humu.
Picha yake ya kawaida tu haina lolote.Jaribu kifikiria kidogo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mshua tulia
Naomba unipe chochote ulichogundua kwenye hii picha. View attachment 967282
hiyo picha ni rhetoric hakuna kitu hapo (debe tupu).Umeelewa nini juu ya hiyo picha?
Hizo ndizo picha fikirishi sasa sio hizo za kuchora mbweha na korongo ili tu uweke tahamaki kwa watu wakuone Jiniazi.hiyo picha ni rhetoric hakuna kitu hapo (debe tupu).
aaaah nilikuwa sijaona hivyo vivuli kumbe ni twin tower, kweli hii picha ni true definition of art...Hizo ndizo picha fikirishi sasa sio hizo za kuchora mbweha na korongo ili tu uweke tahamaki kwa watu wakuone Jiniazi.
Hiyo picha inazingumzia tukio la sep 11 vivuli vya hao watu ni yale majengo yaliyolipuliwa na Osama siku ile.
aaaah nilikuwa sijaona hivyo vivuli kumbe ni twin tower, kweli hii picha ni true definition of art...
Mkuu, huyo ni tai kutoka sayari ya mbali nini, au macho yangu yame exipaya?Ukiitazama vzr hiyo picha utaona mbuni aliyeficha kichwa
Pia,utamwona tai
Huyu mbuni anawakilisha upinzani na tai anawakilisha ccm
Ccm (tai) anataka kuudhuru upinzani (mbuni) lakni haoni chanzo cha mbuni ambacho ndyo kichwa!