Special thread: Vikaragosi vya Masoud Kipanya

Nimependa zaidi hii. Ona spika anavyoshikiliwa akili na rais. Huwa napenda kuangalia BBC live kuhusu brexit. Ukiona jins Theresa May anavyowekwa kiti Moto. Yaan mtu anaachwa ajifie mwenyewe kwenye kuitetea hoja yake. Hakuna mhimili unaoingilia mwingine. Sasa ije Huku kwetu rais amsemezeshe spika, majudge, mahakimu, msajili wa vyama vya siasa mkurugenz wa sssr Kila mahali yy tu
 
Hugo mchoraji anaitwa said Michael yupo cizuri sana
 
Kwakweli huyu bwana kumuelewa inakuwaga ngumu sana.
Naomba aliyeelewa.
 
Nilisoma ndiyo ila sio kwamba kuchorachora ni fasihi.

Umepata kuelewa hiyo picha? Hiyo picha haina maelezo yoyote yale ya moja kwa moja zaidi ya kila mtu ataisemea kwa namna aijuavyo.
mkuu ulisoma literature/fasihi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…