Wamtume kwa baba, hapo watakuwa wamefaulu kwenye options zote mbili zinazowaumiza kichwa.
Nahisi toka walipoboronga ile movie ya mudy ya nissan surf wamekuwa hawaaminikiKwani wasiojulikana hawapo siku hizi?
Nahisi toka walipoboronga ile movie ya mudy ya nissan surf wamekuwa hawaaminiki
Hapo watu wa NTWARA wanakwambia UKICHIMAMA NCHALE,UKIKIMBIA NCHALE.
Upepo haujifichi yeye anafaida kwa jamii wwe una faida ganiWampige risasi tu mbona Lissu walimpiga risasi
Huyo atakua Membe tu. Only Big Minder.😎
Katiba yao inawaruhusu kushindana wao kwa waoKwani kawakosea kitu gani jamani?
Unaulazimisha ujinga wako uingie akilini mwa kila mtu??Sijaona tatizo la picture hii maana anayejua maana ya picture hii ni aliyechora siyo anayeisoma
We ndo umeona,na wakimuondoa tu ndo mwisho wa ccm kama KANU
Mwenyekiti yupo ila kabaki na alama ya mshangao ina maana yupo kwenye sintofahamu,, anashindwa afanye lipi maana akimfukuza atamsumbua kama mjumbe anavyoonelea
Katiba yao inawaruhusu kushindana wao kwa wao
Kwani walioandaa ile bongo movie ya mudy hawapo?
Unaulazimisha ujinga wako uingie akilini mwa kila mtu??
Hyo ni lugha ya mafumbo au picha inatafsiri yake kulingana na uelewa wako.
Unataka kusema kuwa ndiye aloyemshauri Emmasson Mnangagwa kumtimua Mugabe kwa intelligemsia kali sana namna ile?? Then if the case is so, Magufuli ajisalimishe mapema.Wapo lakini kumbuka Benard ni mshauri wa Serikali ya Zimbabwe katika maswala ya Usalama ndio utajua huyu jamaa anaielewa mizizi.
Yupo, hujaona anashangaa na kujiulizaNaona kuna kitu mtu mnamtafutia huyo m/kiti wa kikao hicho kwani wanaojadili ni members only. M/kiti hayupo
Anaundiwa zengwe zito anyanyue mikono yeye mwenyewe.