Special thread: Vikaragosi vya Masoud Kipanya

Kama kweli hawajui
Katika maelezo yote ya kutekwa Mo sijasikia sehemu kwamba walimfunika macho.
Kimsingi alikuwa anaona kila kilichokuwa kinafanyika .
Na lazima anafahamu alipopelekwa,
anazingua tu huyo Mo, kimsingi nimemdiscredit sana nilikuwa mpenzi sana wa bidhaa zake .
Ila Kwa sasa sintonunua bidhaa yeyote ya Mo nimemuona jamaa ni mnafki au muongo kupita kiasi
 
Hahahah pengine kachanganyikiwa! Ile gari imesajiliwa Msumbiji,iliingia nchini kupitia mpaka wa Kenya. Dereva inasemekana ni mnaijeria anaitwa Obassanjo,watekaji walikuwa wanaongea lugha ya kusini mwa Africa ila ni wazungu wawili! Mateka mwenyewe ni Muhindi! Hapo we umeelewa kweli? Mo mwenyewe haelewi!
Hahahahah
 
Akili imeganda kama maziwa mgando.
 
Taja reasons za kugomea sio unasema tugome tu bila sababu
 
Mkuu hao wanaotaka mo aseme ukweli ni wajinga tu na hawajui kitakachomsibu endapo kama ataropoka ukweli.
Hili jambo ni zito rafiki,hawezi jiachia kiivyo, wenye meno wamemzunguka
 
Yaani Nyie wapuuzi kweli.Unakijua kitu kinaitwa YARABI NAFSI??.Ataje Ili iweje.Akisema mtu aliye tayari kujitokeza afe badala yake ili aseme alikokuwa,Utakuwa tayari?,hiyo ndiyo inaitwa Yarabi nafsi yangu.Sema uone kama hujatolewa roho.Kula ugali wako,kakojoe ukalale.
 
Kipanya ni mwana chadema mtiifu ndio maana uwezi muona amewachora chadema
We mwache tu,dawa inachemka,tunakamilisha kuufahamu mwenendo wa kazi zake,watamlilia hawatamuona na hatimae watazoea,jokes[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mpuudhi mwenyewe , sasa kama ni suala lake binafsi mbona ndugu zake walilialia jamii iwasaidie kumpata ndugu Yao, Acha usenge we **** nadhani utakuwa unafirwa na akina aijipii zero
 
Naona wakitelekezwa hawawataji watekaji Mfano. Roma mkatoriki naye mpaka leo hajawataja. Yule dogo wa UDSM vile vile, sijui wanatishwa na kitu gani kiasi kwamba wanashindwa kutusimulia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…