Mbona yeye aliponea chupuchupu hakuongea?View attachment 907343
Mfano Roma Mkatoliki na sasa Mo kunani huko mateka?
Na polisi kwanini wanazuia wasiongee kama sio wahusika na hao wasiojulikana mpka leo hakuna waliokamatwa?
Aliye kwambia hawajuliiani ni nani??, Hujuwi inatekelezwa ilani ya chama gani?View attachment 907343
Mfano Roma Mkatoliki na sasa Mo kunani huko mateka?
Na polisi kwanini wanazuia wasiongee kama sio wahusika na hao wasiojulikana mpka leo hakuna waliokamatwa?
ZAKARI YA KULE KANDA YA ZIWA ILIISHAONGEAAjitolee mtu mmoja atekwe kisha akirudi aongee tujue kunani huko!
#Nitumeni mimi
mkuu kwaio nawe ni mvaa kaki ila hutaki nafasi ya bwana mchungaji wa musomaNikiwa mkubwa sitaki kua IGP[emoji18] [emoji120] [emoji120] [emoji120]
Hata unipe mshahara wa millioni 10 au 15, siwezi kufanya kazi kama hio, kuonea watu na kudhulumu kwa rushwa watu maninamkuu kwaio nawe ni mvaa kaki ila hutaki nafasi ya bwana mchungaji wa musoma
Mnafiki huyo. Naye si ndio champion wa kulitengeneza goli la mkono huyo.