Special Thread: Usiku wa mahaba

Special Thread: Usiku wa mahaba

kada hii ya maigizo hainaga mwenyewe ila mie mwenzio yalinishinda nmebaki natoa macho tu,,,,,,,maana mtu anasikia utamu eti anaanza kulia utafikili kapigwa vile mie natoa nduki uchuro peleka huko huko....

njooo kichochoroni kwetu nikunongoneze bonge la surplise,,,,,,,

Hahahaaaaa!! Lazima alie maana ili nawe ujipe moyo umemkoleza bila hivyo walet utafunguaje sasa.

Nipe hiyo suprise aiseee maana ninavyopenda masuprise sasa.
 
Hahahaha umeonaa eehh tasnia hii ilivyokuwa ya kinafiki...yaani mimi ndio nimekutaka,na wallet nafungua mie halafu kwenye kunjunjana eti pia nikukoleze mpaka udate kama ungekuwa unataka kudata si ungenianza Wewe na chapaa usingeangalia..kila ntu alipewa chake na sir God akitumie inavyotakiwa.....hahahaha

NB:Nikiwaga jukwaa hili atoto mwenzio naropoka tu
 
Last edited by a moderator:

Si ndio nimekushangaa mwenzangu maana sijawahi kukuona huku, hii tasnia sahivi wizi mtupu yaani kila mtu ana machale na mwenzie yaani km unaishi na jambazi vile!!! Daaah!
 
Last edited by a moderator:
Mimi ni kijana wa miaka 30 natafuta mchumba humu ndani awe mkristo.na tabia njema pia awe na umri usiozidi miaka 24.mimi ni lecture wa chuo kimoja hapa tz.pia ni muhaya naejua mapenzi hususani cta kwa cta c mnajua mambo ya katerero ni hayo tu.mwenye cfa anipm.asanteni
Dah! Bahati mbaya ka age kamevuka kidogo nigekamata fursa hiyo
 
masai dada Haya njoo nikutowe upweke maana naona tule tubwana kule tumekupania kweli kweli
 
Last edited by a moderator:
Hahahaha umeonaa eehh tasnia hii ilivyokuwa ya kinafiki...yaani mimi ndio nimekutaka,na wallet nafungua mie halafu kwenye kunjunjana eti pia nikukoleze mpaka udate kama ungekuwa unataka kudata si ungenianza Wewe na chapaa usingeangalia..kila ntu alipewa chake na sir God akitumie inavyotakiwa.....hahahaha

NB:Nikiwaga jukwaa hili atoto mwenzio naropoka tu

ni shiiiiidaa kwa hiyo mwenye shida alipie?
 
Last edited by a moderator:
Habari zenu,

Natambua na kuheshimu ndoa za watu humu jamvini, najuwa kunawale walioweka ndani kama mimi na kuna wale walio kwenye uchumba. Hapa itakuwa ni sehemu sahihi kwa watu kupeana ufundi na manjonjo ya kimahaba.

Lakini ni ifikapo usiku kuanzia saa moja na kuendelea. Mke wangu charty najuwa upo safarini huko USA lakini hapa ndipo sehemu pekee unaweza kunipata na tukaliwazana.

Onyo: Ni marufuku kuongea kimahaba na mke/mme wa mtu, mchumba inaruhusiwa hata kutongoza sio kosa.

Karibuni watu wa mahaba niuwe

kuna watu hawajui kuzungumza na wapenzi/ wake zao pindi wanapohisi kuna jambo linawakera.

mfano kuna kitu hukipendi kwa mpenzio(me) wanaume wengi wanapenda saana kukaa kwenye kochi/kitandani mguu mmoja umekanyaga chini mwingine kaulaza juu ya kochi sasa wewe ke tumia hii nafasi wakati huo mmekula chakula mmeshiba mmeoga fresh uwe na uso wa furaha ktkati ya miguu yake pale kaa pale then unamlaalia hiiivi automatically hata kama we ni mfupi kichwa kitagusa kitovu chake then mikono yako 2 izungushe kiunoni kwake itakutana mgongoni atajikuta tu naye kaizungusha mikono yake akukumbatie.

hapo ukinyanyua macho juu unamtizana naye akitizama chini tu macho yenu yatagongana..tabasamu kidogo sasa alaaa mwambie (godson) G. najupenda sana mpenz/ mme wangu sijuti kuwa na wewe ntakupenda nakukuthamini daima. lazima ajibu maneno matamu , hapo sasa unamwambia sweeewtyyu kuna kitu hakinipendezi mwenzio!! atajibu nini mamaa/ baby/ darling unachelewa kurudi nyumbani, ukija unakuwa busy na whatsap/jamii forum mawasiliano yako na wanawakw wengine mi yananitia mashaka na naogopa yatapunguza mapenzi yetu, kitu gani umekosa kwangu jaman mpige kabusu kidogo uone kama hajakuambia mwaj waukweli ndo ananichelewesha mamaa but ucjal naacha kuanzia leo. but ukiona kabadilika tu akirudi nyumbani uwe na mapenz hothot, room safii mashuka hayanuki shombo ataona kule anapoteza mda. hata mwanamke ukimuaproach in a romantic way ukamwambia jambo ambalo hupendi thwn malizia na mechi yenye bashaaha umeua bendi..
 
Somo cc charty
 
Last edited by a moderator:
haha sitaki kesi muite mke wako charty

My wife ananijuwa vema sina tabia ya kula mseto
Zaidi ya kuingia kweny cliniki yako ya massage kupata matibabu ya uchovu
Na huwa hilo halimsumbui kuwa free mamy
 
Last edited by a moderator:
My wife ananijuwa vema sina tabia ya kula mseto
Zaidi ya kuingia kweny cliniki yako ya massage kupata matibabu ya uchovu
Na huwa hilo halimsumbui kuwa free mamy

tuliwazane tu maana kuke kwenye siasa kila nikikoment namjazia mtu uzi maana watu wanalipukwa balaaa

comebt yangu inakua quoted 30 timees for no reason nikijibu ndo balaa
duh ngoja tu niwe msomaji
ila sasa kinachoniumiza ni ushabiki wa kiuni utakaoenda kuuumiza watu miaka mi5 ijayo
 
kama kuna watu wa insta humu we nifollow jerrybigbwoy then ntakufollow kushow luv ama nin😋😘
 
Last edited by a moderator:
tuliwazane tu maana kuke kwenye siasa kila nikikoment namjazia mtu uzi maana watu wanalipukwa balaaa

comebt yangu inakua quoted 30 timees for no reason nikijibu ndo balaa
duh ngoja tu niwe msomaji
ila sasa kinachoniumiza ni ushabiki wa kiuni utakaoenda kuuumiza watu miaka mi5 ijayo

Aaayaah..Mambo ya siasa yaache hapa ni mahaba niuwe tu
Siasa zinapasua kichwa inabidi tukimbilie hapa ubongo upate hewa
Eti ulishawahi kunogewa?
Nani alikunogeza?
Funguka
 
Hebu jifunze suprise HUG unamkumbatia kwa mgongoni unazpisishia mikono katikati ya mikono yake then kwa mbele ipandishe na viganja vitouch maziwa hata kama ni me , then unaleta lipsi kwa shavu unaanza na mwaaa then ita jina mf: mamndenyi, mo11, miss chaga, preta, viol, tarime one, nifah mpeenz, darrrling, mme/mke wangu nakupenda sana umpe sekunde 38 hiv usiongee chochote then uone response

ww umeolewa😓?
 
Aaayaah..Mambo ya siasa yaache hapa ni mahaba niuwe tu
Siasa zinapasua kichwa inabidi tukimbilie hapa ubongo upate hewa
Eti ulishawahi kunogewa?
Nani alikunogeza?
Funguka
sijawahi kunogeshwa

i have been looking for mnogesho for sometimes now

can you nogesha me here
no pm plz
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom