Special Thread: Usiku wa mahaba

Special Thread: Usiku wa mahaba

Mi mahaba yaliishanipitaga siku nyingiiiiiiii yenyewe yapo kigoma mimi nipo nyasa.

Uliyakosea yapi?
Ndio maana hapa ni chuo ngoja mke wangu charty akija umweleze ulipojikwaa atakusaudia ni fundi kweli kweli
 
Last edited by a moderator:
no no mydia mimi ni super na penzi langu halichuji. come here sweetie and lets enjoy everything in this life.

Khaaaah hizo swaga ndizo zilezileee za yule mwizi wangu, nishaumwa na nyoka naogopa hata jani mie. Alafu wewe kila mahali una mke!!!
 
Uliyakosea yapi?
Ndio maana hapa ni chuo ngoja mke wangu charty akija umweleze ulipojikwaa atakusaudia ni fundi kweli kweli

Sihitaji mwl, wala sijayakosea, bali naona ni kitu cha kawaida tu, ingekuwa dili la pesa hapo ningeomba mwongozo.
 
mimi ni kijana wa miaka 30 natafuta mchumba humu ndani awe mkristo.na tabia njema pia awe na umri usiozidi miaka 24.mimi ni lecture wa chuo kimoja hapa tz.pia ni muhaya naejua mapenzi hususani cta kwa cta c mnajua mambo ya katerero ni hayo tu.mwenye cfa anipm.asanteni

haaahahha kubaaabeki
 
Khaaaah hizo swaga ndizo zilezileee za yule mwizi wangu, nishaumwa na nyoka naogopa hata jani mie. Alafu wewe kila mahali una mke!!!
atoto mimi sio nyoka bali jani salama tu. usinifananishe na hao nyoka waliokuuma. mimi ni mtu mpya kwako kukupa maisha mapya.

NB: Si kweli kuwa nina wake wengi bali nina marafiki wengi.

NJOO KWENYE ULIMWENGU WA MAHABA MPENZI atoto
 
Last edited by a moderator:
Hebu jifunze suprise HUG unamkumbatia kwa mgongoni unazpisishia mikono katikati ya mikono yake then kwa mbele ipandishe na viganja vitouch maziwa hata kama ni me , then unaleta lipsi kwa shavu unaanza na mwaaa then ita jina mf: mamndenyi, mo11, miss chaga, preta, viol, tarime one, nifah mpeenz, darrrling, mme/mke wangu nakupenda sana umpe sekunde 38 hiv usiongee chochote then uone response
 
atoto mimi sio nyoka bali jani salama tu. usinifananishe na hao nyoka waliokuuma. mimi ni mtu mpya kwako kukupa maisha mapya.

NB: Si kweli kuwa nina wake wengi bali nina marafiki wengi.

NJOO KWENYE ULIMWENGU WA MAHABA MPENZI atoto
Eli79 unaona bahati hizi, hii ni embe chini ya mnazi.

Ila Mokoyo subiri kwanza nikuzungushezungushe bwana
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom