Special thread: Uliza swali la kijinga ujibiwe kipuuzi

Special thread: Uliza swali la kijinga ujibiwe kipuuzi

27540755_388853614894343_6033204687678059321_n.jpg
 
Nasikia ukila mbegu ya chungwa utaota mti wa mchumgwa kichwani ivi ni kweli???? Naombeni jibu jamani maana nipo njia panda mkononi nnachungwa hapa nisije nikameza mbegu kumbe jau
 
Ivi binadamu ana mkia kweli??
Ndio anao unaitwa COCCXY ulikatika vile ulikuwa hauna matumizi.Hata wewe chukua mkono wako mmoja ufunge kwa kamba umeukunja kaa mwaka mzima ukiufungua utakuta umekufa.Lamarck theorem the law of use and misuse.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom