Special thread: Uliza swali la kijinga ujibiwe kipuuzi

Special thread: Uliza swali la kijinga ujibiwe kipuuzi

eti wadada ambao chura inatikisika sana huwa wanatumia ule mtandao pendwa ?
Chura chura tu iwe inatikisika,imepigwa pasi,iwe ya kiume kama yako siangalii mm siangalii nakupelekea moto tu!
 
Hivi ukichomoa betri ya gari ukafunga generator yenye uwezo sawa na lile betri gari haliwezi kuwaka
UKIFANYA HVY UKIWA NA ILE JANI YA ARUSHA KICHWANI,ITAPAA KABISA KAMA NDEGE! SIO KUWAKA 2
 
Back
Top Bottom