Special thread: Uliza swali la kijinga ujibiwe kipuuzi

Special thread: Uliza swali la kijinga ujibiwe kipuuzi

Maboso

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2013
Posts
5,163
Reaction score
5,766
Hapa uliza swali lolote la kijinga halafu uone utakavyojibiwa jibu la kipuuzi.

Warning: Hakuna kutukanana!

Mfano: Hivi picha maarufu ya jiji la Dar inayoonyesha askari kashika bunduki, yule ni mtu halisi au ni sanamu?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom