Special Thread: Taarifa za Kampeni za Mgombea urais kupitia CCM, Dr. Pombe Magufuli na Samiah Suluhu

CCM inaongoza kwa kuiga yasemayo na yafanywayo na wapinzani.kwa hilo inang'ara!
 
Chama cha mapinduzi CCM kimeendelea kungara katika kampeni za lala salama zinazoendeea kote nchini ambapo mwitikio wa wananchi umekuwa mkubwa hali inayotishia ukawa kuambulia patupu katika uchaguzi wa oktoba 25.

Ni kweli maanake wazee wa upande wa pili wametoka baruti kule tunduma na hawajarudi
 
Magufuli anakubalika kwa asiilimia 89% wengine wanamsindikiza tu,watanzania hawana muda wa kuwapa nafasi watu wanaotaka kufanya majaribio katika kuongoza nchi
 
Chama cha mapinduzi CCM kimeendelea kungara katika kampeni za lala salama zinazoendeea kote nchini ambapo mwitikio wa wananchi umekuwa mkubwa hali inayotishia ukawa kuambulia patupu katika uchaguzi wa oktoba 25.

Hayo sasa siyo mahaba ila ni makengeza yaani inajiandaa kuwa chama Kikuu cha upinzani hivi huko ndiyo kung'ara? Kweli viwango umevishusha mno kutoka kuwa chama tawala hadi chama kikuu cha upinzani.
 
[h=3]
10994165_168279710184855_2466045775529068808_o.jpg
[/h]
12091375_168279713518188_8751363016922039522_o.jpg


11225286_168279676851525_4442083860067212783_o.jpg

WANANCHI WA IGOMA-MWANZA ASUBUHI YA LEO WALIZUIA
MSAFARA WA RAISI ILI WAZUNGUMZE NAYE
UMATI HUU WA WATU HAUKUWA MKUTANO RASMI; NI MAONGEZI TU
YA NJIANI
‪#‎HapaKaziTu‬
‪#‎RaisiNiMagufuli‬

 
Back
Top Bottom