Mh! Raha za mjini tumuachie nanihaha uhakika, ila inafaa nyie ndio mje kijijini π
Nii mzima salama salmini, vipi hapo mamodinyo na baninyo hawajambo?
Unaujua uzi wa rikiboyπππKwani mnakuja kuishi! mnakuja hata weekend mara moyamoya π
Mimi tu humu ndiyo sina nduguHabari za asubuhii
Raisi wa chama Cha majobless pro max Intelligent businessman
Mzee wangu Dr am 4 real PhD
Brother Hovering
Afu Kuna hii baninyo secretarybird
Ndg yangu makutupora
Niko poa pia, ukipata nafasi tuletee chai usikae kimya sanaππNipo ndugu yangu sema tu majukumu ya hapa na pale mkuuπ Niko poa sijui wewe
huyu ndugu yetu rais wa KATAA NDOA & MAJOBLESS PRO MAX Hon. Intelligent businessman simuoni hizi siku mbili tatu!Habari za asubuhii
Raisi wa chama Cha majobless pro max Intelligent businessman
Mzee wangu Dr am 4 real PhD
Brother Hovering
Afu Kuna hii baninyo secretarybird
Ndg yangu makutupora
Na kwako pia rafiki..
Nenda kausomeHaha siujui unahusu nini jirani π π
Za kuamka mkuu! Leo vipi, mambo yako freshZa kuamka mkuu Al-mukheef
ππunataka kuharibu ujirani mwema wewehaha unamaanisha nini jirani unataka nile tundalako kimasihara
π
Ndiyo upi huo?mi naujua uzi wa Jambazi