I mean no malice to nobodyHaha ndio tuje kwenye shindano, tuichape sokwe muda wa kudai chetu useme "sina mil5 I mean no malice to nobody!"
Muulize Channel gani itarushwa liveππhaha dili la sokwe nitaliangalia tu kwenye TV, si watarusha live eeh π
Ila huyu jamaa ππππhaha I MEAN NO MALICE TV
πππyaishe mkuuHe means no malice to us
Mechi ya Simba tunaangalia wapi jirani?Kwema wanaJF
Njoo Samaki SamakiπChagua wewe me nitakuja π
Utakuta nimevaa high heels na kigauni flani hivi amazing na wigi kama Lulu Divaπππ haha
sawa nitakuta umevaaje ili nikutambue fasta!
Unataka kunifanya nionekane kama msukuma weweπππMbona wewoo π
manjonjo mengi mbona utafanya nisikutambue.
Tupia uzi wa mnyama juu mpaka chini, vaa na six chukua vuvuzela tukutane Samaki Samaki.
Siku moja moja unabadilisha muonekanoπ π haha
sasa hayo mawigi si wanaJF walisema mpende uasili wenu!
Anaweza alashinda au akashindwa inategemea amejipangaje, tusubiri matokeoJirani una mambo, sawa kwahio mnyama anashinda au inakuaje