mfano nataka nicheze na wewe tunacheza vipi?Kivipi...
mfano nataka nicheze na wewe tunacheza vipi?
sisi maskani kwetu tunacheza na wifi, ukiwa na router bila hata internet utacheza, ila sharti muwe karibu na mconnect same wifi.Hata mimi nimewaza hivyo, maana unahitaji kuwe na connection yoyote kama bluetooth au wireless