Special Thread: CECAFA Senior Challenge Cup 2013

Special Thread: CECAFA Senior Challenge Cup 2013

The hosts qualify for finals on Thursday (12th Dec) and will play Sudan while Tanzania plays Zambia in 3rd place play-off.
 
Mkuu watu8 kama tutabigwa leo huu uzi utasusiwa.

Mashindano yamebakiza siku moja tu ambapo kutakuwa na gemu mbili, ile ya mshindi wa tatu na fainali....
 
Last edited by a moderator:
Kenya wamefanikiwa kuingia fainali kwa mara ya pili mfululizo...

Mwaka jana walicheza fainali na Uganda wakaambulia patupu...
 
..Bora maana wangeshinda ungesikia ohh sababu ya ziara za Kinana. Fast Jet sasa atarudi nyumbani maana alishaanza kupiga mahesabu ya kwenda kuangalia fainali 🙂
 
Watu weweeeeeeeeeee
Thibitishen kwa mchoro kama kwel Kilimanjaro imelala
 
kelele zilikuwa nyingi mara hooo jamaa walikuwa wanataka tucheze uwanja mbovu haya sasa huo wenye unafuu mbona tumefungwa. Huyo ivo mapunda kwanin hakuzuia hilo goli maana siku ile kutoa tu kapenati kelele zilikua kibao
 
Mkuu hakuna aja ya
kufatilia mshindi wa tatu kwa sub hizi za kumuingiza Faridi
Musa,usishangae kuona mke wa Polsen nae akipata nafasi ya kucheza kwenye
mechi hiyo!

sijui ni lini na sisi tz tutakuwa na amani mioyoni mwetu na soka letu.
 
kelele zilikuwa nyingi mara hooo jamaa walikuwa wanataka tucheze uwanja mbovu haya sasa huo wenye unafuu mbona tumefungwa. Huyo ivo mapunda kwanin hakuzuia hilo goli maana siku ile kutoa tu kapenati kelele zilikua kibao

si useme tu kama angedaka kaseja msingefungwa!
 
Back
Top Bottom