Usikate tamaa kiongozi!kishindio sasa..
Huyu dogo Faridi Musa ni kichefuchefu!pasi zote kapoteza.
Hapa alitakiwa kuingia Chanongo au Messi.
kabla ya mechi![]()
mi nshamaliza hii gemu leo pagumu..Usikate tamaa kiongozi!
Ila huyu dogo Faridi Musa ni shati tu ndio maana ata akabwi.
tena ya musa kupita juu ya bahari..Dah!! Hapa tutegemee maajabu
samataaaaaaaaaaaaaaaas kapaisha kunani tena..Sijui ndio kusema hatujazoea kucheza usiku ama...
Aka miujiza!Dah!! Hapa tutegemee maajabu