Sangomwile
JF-Expert Member
- Aug 17, 2012
- 3,227
- 1,104
Tz wameamka sasa.
hivi wanajiangusha au wanaangushwa..
Dk 55
Kili 0 - 1 Kenya
samata leo sijui anachofanya kwa kweli..
wanaangushwa...
Tatizo la timu yetu majikupwa maji kujaa,haitabiliki
Hadi inaboa...
yaani leo tukipata goli mchezaji wakenya ana red card..
full time tz 0 - 1 ke
Kwanini mkuu?