Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 76,269
- 108,264
- Thread starter
- #1,101
Asante sana Mkuu, bila shaka hawa nyang'au watakaa kimya muda mfupi ujao. Natafuta kitufe cha 'Like' sikioni.
Haina shaka mkuu...
Mara kadhaa nimeshamuona Lunyamila akifanya mazoezi, ana uwezo bado...
Kuna wakati mwaka jana nilimuona Tigana pale Leaders naona bado ana uwezo...
Hao wengine sijapata kuwaona kwa umri wao huu wa uveterani...