Mkuu watu8 kama tutabigwa leo huu uzi utasusiwa.
Zmebaki dk ngap?
Samatta kakosa pale, basi tena.
umeona enhee..hawa makocha wakizungu wachache sana wanaweza mipira ya kibongo....wakishazoea tu basi nao wanakuwa yale yale...ili mradi Ngasa anapendwa na JK basi lazima acheze kila siku hata kama anaboronga ...au Samata hata akiharibu au kuwa off-form hawezi kuwa subbed !! Weka hao yosso, weka huyo mjeshi striker afanye kazi achana na hao shikamoo jazz band !!