Tanzania bara (Kilimanjaro Stars) yafanyiwa hujuma, mpira ulikuwa uanze saa 7:30 mchana badala yake umeanza saa 1:00 jioni, ulikuwa uchezwe Mombasa then ukapelekwa Nyayo (Nairobi) ambapo mvua kubwa kama kawaida umenyesha.
Refariii kama kawaida yao kaibeba Harambee stars, Hakika mpira hautakaa ukue katika kanda hii ya Afika Mashariki na kati, tutakaa kuwa wasindikizaji miaka yote, hadi tubadilike.