Hata sijaelewa, Chuki za wanasimba kwa Mapunda wapi na wapi tena jamani? au wengine bila kuleta unazi jukwaa haliwi zuri.
Pole sana kijana kwa kuwa msemaji wa mwanamme mwenzio.
leo watu wapo bussy kwa TATA MADIBA ata mechi naona hawatoifuatiliaUpdates!!!!!!!!!!!
Sawa mura!leo watu wapo bussy kwa TATA MADIBA ata mechi naona hawatoifuatilia