Mechi imeahirishwa uwanja umejaa maji,itachezwa saa 12 jioni.
Africa bhana!!Mechi imeahirishwa uwanja umejaa maji,itachezwa saa 12 jioni.
Mechi imeahirishwa uwanja umejaa maji,itachezwa saa 12 jioni.
Mechi imeahirishwa uwanja umejaa maji,itachezwa saa 12 jioni.
nahisi itakuwa kesho tena..Wameshaanza kutujengea mazingira magumu. Inaana na hiyo mechi ya pili itachezwa saa ngapi?
majangaaa!nahisi itakuwa kesho tena..
Imeahirishwa? Hili jambo ni kweli jamani?
Leo si kuna mechi mbili?
Inaana na hiyo mechi ya pili itachezwa saa ngapi?
Ni kweli imeahirishwa..tukutane saa 12 jioni..