Hahahahahaha.Hahaha..sasahivi tunataka matokeo mambo ya booster tutajadili baadae.
mapunda noma
Hivi na wewe ni Mtanzania?Mmh...tutatoka kweli kwa style hii? Kwenye mikwaju sina imani kama tutawsua waganda.
Asante Mungu...
At last tumeweza kuwanyamazisha waganda na kuwavua ubingwa....Na of course kwenda Semi final....
Kudos kwa Ivo Mapunda...
Nathukuru mungu jamani na nyie themeni amina
Hivi na wewe ni Mtanzania?