Special Thread: CECAFA Senior Challenge Cup 2013

Dah hii mechi ya Stars hadi saa kumi?
Taarifa tulizo nazo hadi sasa ni kwamba itachezwa saa 12 jioni jijini Nairobi uwanja wa Nyayo, uwanja wa Kenyatta ulioko Machakos umejaa maji. Ingawa kulikuwa na mabishano kati ya katibu mkuu wa CECAFA na mwenyekiti wa Federation ya Kenya, mwenyekiti wa Federation ya Kenya alitaka maji yatolewa na game ipigwe hapo hapo Machakos lakini katibu wa CECAFA ndo aliyeamua ihamishiwe Nairobi.
 
Na mashabiki waliolipa viingilio vyao huko Machakos watahamishishiwa Nairobi au ndiyo imekula kwao?
 
Wakenya huwa hawaipi kipaumbel kabisa hii michezo yaani kuunga unga tu!

Hapa Tanzania ndio wanapataga pesa zaidi wakileta CECAFA
 
Mkuu kazini huwa hatutoroki, huwa tunatoka kidogo, kutoroka ilikuwa ni shuleni.

Asante Mkuu Masuke kwa masahihisho, tayari n'sharudi na boss kaniuliza ulikuwa wapi? Nikamjibu nilitoka kidogo. Masahihisho yako ni kama vile ulikuwa nami.
 
Last edited by a moderator:
Wakenya huwa hawaipi kipaumbel kabisa hii michezo yaani kuunga unga tu!

Hapa Tanzania ndio wanapataga pesa zaidi wakileta CECAFA

Kisaikolojia Wakenya tayari wamefungwa! Sir God amekataa unyang'au wao wa kutaka mechi ipigwe Machakos, sasa watajuta kucharazwa hapohapo Nairobi. Ile mechi ya saa kumi ina mabadiliko yoyote?
 
Mkuu hii habari imenisikitsha sana..mi nshatoroka kitambo..

OK, kumbe tuko wengi eeh! Serikali leo imepata hasara kubwa, watu hatujafanya kazi tunawaza mechi, Mapunda na wenzako msituletee za kuleta, piganeni hadi ushindi upatikane
 
Asante Mkuu Masuke kwa masahihisho, tayari n'sharudi na boss kaniuliza ulikuwa wapi? Nikamjibu nilitoka kidogo. Masahihisho yako ni kama vile ulikuwa nami.
Ni kweli maana mtu unapokuwa mkubwa unakuwa na majukumu mengi sasa huwezi kuwa unaomba ruhusa kila muda, saa nyingine unaamua kutoka kidogo bila kutoa taarifa popote.
 
Last edited by a moderator:
Nusu Fainali

Dk 20

Zambia 0 - 0 Sudan
 
Back
Top Bottom