Sizinga
Platinum Member
- Oct 30, 2007
- 9,519
- 7,287
Hahaaaziwafikie sio?
Last edited by a moderator:
Tutakutana na nani vile!
Yametimia, nimesoma refa alivyotunyanyasa nikasema 'Tutashinda'. Asante Mungu, amen.
huenda Kenya.
Hongera Mapunda,hawa waganda wametutesa sana
Tumewavua Uganda ubingwa, safi sana Kilimanjaro stars.
Mbona hamna updates yeyote nyie waungwana mnaoangalia mpira live? Dk.ngapi,goli ngapi ngapi?