simplemind
JF-Expert Member
- Apr 10, 2009
- 16,692
- 9,579
Tanzanite 1 v/s 2 S.Africa
live star tv.
Tanzanite 1 v/s 2 S.Africa
Tutatoka kweli?
Anakusalimia Baba V... yuko selo, mimi tu nimepona mimi tu kukuletea habari..
Vipi wakuu.
Katavi acha uoga!
tulianza na burundi tumekuja uganda who is next..
Kenya or Rwanda.
Nyie watz mmeotea. Mko na lucky sana. Mmebahatisha.
Taifa Staz na uganda leo matokeo yakoje?
Hivi na wewe ni Mtanzania?
hahahaah! Nimetulia kiongozi.Katavi acha uoga!
Hapana, ni mngazija kama wewe!