Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,586
- 66,280
- Thread starter
- #41
Hii ya naija ndio nimeanza angalia leoMwakilishi wa TZ ni wa kiume mwaka huu?
Hii ya naija ndio nimeanza angalia leoMwakilishi wa TZ ni wa kiume mwaka huu?
Ahahah mmesha anza kula chikandanga 😂Mambo ya kwenu huko Sisi huku kwetu nanjilinji na uzee huu hatuelewei kitu
Naam ndo mambo yetu hayoAhahah mmesha anza kula chikandanga 😂
😂😂 Andaa chibukuNaam ndo mambo yetu hayo
Mimi yupo mrembo mmoja hivi ame poa yupo swafiii labda uyohakuna season iliyokuaga kali kama ile ya akina Omashola, Tacha , Mercy
hii nimeanza kuiangalia jioni leo ... bado sijampata my favourite
kuna mmoja anaitwa Sultana yuko vizuri sana 😁Mimi yupo mrembo mmoja hivi ame poa yupo swafiii labda uyo
Yule ni mdada wa sinza alie chaluka zaidi naona an jipeleka sana kwa bright 😂😂kuna mmoja anaitwa Sultana yuko vizuri sana 😁
Bigsoso namuelewa sana kapoakuna mmoja anaitwa Sultana yuko vizuri sana 😁
Kutana na dada sultan kachamka sanaChura zipo zakutosha maana mimi naangaliaga chura tu huko kwenye tv
Mercy alikuwa na kashepu mujarabhakuna season iliyokuaga kali kama ile ya akina Omashola, Tacha , Mercy
hii nimeanza kuiangalia jioni leo ... bado sijampata my favourite
tatizo hana nyama mimi napenda mafuso gia 12 🤣
Ahahah mfwate doris au isabelatatizo hana nyama mimi napenda mafuso gia 12 🤣