Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 33,219
- 83,150
WatakomaJumanne wanakazi yakumkaba Osimhen
Penalty inasakwa hapa!Mwenyeji kajichanganya aisee
Sahii pia Ibrahimu alijisogezea Mpira Kwa mkonoHajaguswa
Usiombe yakukute mwanangu mswalie mtume πJumanne wanakazi yakumkaba Osimhen
Mzuri sanaHuyu Rafik Said ana kitu
SahauMorocco atabeba kombe π―
Morocco timu hawanaPenalty inasakwa hapa!
Hawa natamani Leo kesho tucheze nao tuwafunze soka sisi watoto kutoka KinshasaWatapigwa, kama ndio mchezo wao huu