nilizila kuchek game naona uviv kuamkaHaijaisha hadi iishe
Yeah kidogo sanaa dahAlikuwa offside kabla kipa hajatema
Inawezekana, sinayoko kuna namna anapooza kasi ya mashambulizi sijui ni uchovu. Bado nipo na MaliItakuwa poa.
Japo ngumu
😆😆MALI wana jezi mbaya kuliko team zote
Hawa matuta yataamua mshindiWamechoka kupita maelezo