Special Thread: African Cup of Nations (AFCON) 2025 - Morocco

Special Thread: African Cup of Nations (AFCON) 2025 - Morocco

Refa maliza ball tupokee Mwaka
 
1000482681.jpg

1000482679.jpg
 
Yaani sisi Tanzania kuja kufanya comeback kama ya Ivory Coast kwenye Afcon yesu atakua amerudi then ameenda na kurudi tena.
 
Yaani sisi Tanzania kuja kufanya comeback kama ya Ivory Coast kwenye Afcon yesu atakua amerudi then ameenda na kurudi tena.
Hata MOROCCO,CAMEROON,SENEGAL, Kuja kufanya comeback kama hyo yesu auakuwa karudi
 
Jumapili itapigwa mbungi la kibabe sana
 
1000487781.jpg

Senegal vs Sudan ni Saa Moja Jioni kwa mujibu wa Saa za Africa Mashariki
Mali vs Tunisia ni saa nne usiku
 
Nasimama na Sudan na Mali, japo kazi yao ni ngumu kidogo
 
Back
Top Bottom