The Icebreaker
Platinum Member
- Apr 24, 2014
- 38,690
- 120,096
Stars wakaze hawa Tunis wepesi tu mpaka sasa.
AmenNgoja tuone
Kadi za njano mbaya kwenye nafasi ya best losers ni kigezo cha kutokufuzuHatari sana kwasababu Bacca naye anayo
Wacheze kwakutulia sasa nihatari hiiTayari 3.
Bacca
Mwamnyeto na Msuva