Lakini ukweli utabaki Taifa stars ni tim yetu soteJapo Watanzania wengi wako against them
Hapana kwakweli!Unamwelewa Mnoga?
Nigeria kapata goriNakubaliana na wewe.
Binafsi natamani sana Washinde.
Yaniii!Sijui Gamondi anaona nini kwa huyu jamaa.
Au ni urefu wake?
Hasa akifunga goliAongeze juhudi atapendwa, Mashabiki ni rahisi sana kubadilika