Hawajui tunawategemea🤔🤔???Balaa sana pale
Amin amin!Wajitahidi wapige pesa ndefu
At least yeye kanguvu kapo sio kina samata, Mohammed msuvaUmri
Kabiiiiiiisa wakushika titi tushike wakushika nini sijui mshike tuzuie magoli yasiingie😁!😃 kwamba tupige maombi
Huyo mnoga sasa! Atoke tuTumekoswa koswa tena
Kabisa ila wacha tuwe na imani na stars sa tutafanyeje!Wametuzidi Uwezo