Basi tu!Bado haiondoi kwamba Senegal wamekataliwa goli halali. Ujanja wa kizamani sana wanafanya waarabu.
Ubishi unalipa asikudanganye mtu.Senegal wangejilegeza tu ingekuwa imeshaisha hii game.
Na huyu refa mmatumbi niaje?Basi tu!
Ila waarabu kwa kiasi kikubwa hawajastaarabika.
Wanaweza wakajifanya wapo poa ila kuna pahali ukiwagusa tu uwaarabu wao unakuja.
Hata wachezaji wenyewe wa Morocco wamekata moto.Ngoma ishakuwa ngumu hii!!
Hao wanapewa maelekezo tu (bahasha).Na huyu refa mmatumbi niaje?
Uwanjani au unapokaa? πMvua inashuka sasa
Kwa kitu walichoonesha Senegal hata refa kupiga filimbi za faulo anaogopa.MOrocco wanakosa clear chance. Still 1-0. Senegal wanaongoza.