Special message to Mama Janeth Magufuli

Special message to Mama Janeth Magufuli

Kama yeye hakuhusika ni nani aliyekamatwa kuhusika na matendo haya wakati wa utawala wake?
Aliyemuua Akwilina aliwajibishwa?
Waliomshambulia Lissu walikamatwa?
Nikikuita mpumbavu siyo kama nakosea nina hakika na upumbavu wako, tetea maslahi mapana ya jamii unayoishi siyo ya mtu.
Naona baada ya spana hata avatar yako umebadilisha picha ya muuaji kweli wewe chizi
Hata nikipata picha ya mumeo au mkeo mie naweza kuifanya avatar yangu, sina mbaya.

Ona sasa, Akwilina alikuwa tishio gani kwa Magufuli hadi useme kifo chake anahusika Magufuli? Kwamba Magufuli aliagiza auliwe Akwilina ndio muuwaji hakukamatwa?
 
Bado unaendelea kuonesha kutokuamini kwenye kutofautiana mitazamo, hapa tunajadiliana kila mmoja ana mtazamo tofauti na mwenzie ila wewe unasema et sioneshi kukereka na hayo madai ya ukatili wa Magufuli. Kimsingi unachosema ni kwamba sikubaliani na wewe.
Suala siyo kutofautiana mtazamo, hapa tuzungumzie ukatili dhidi ya ubinadamu, je muuaji mwendazake hakufanya?
Usikubaliane na mimi kubaliana na ukweli, baada ya Magufuli vikosi vya wasiojulikana viko wapi?
 
Hata nikipata picha ya mumeo au mkeo mie naweza kuifanya avatar yangu, sina mbaya.

Ona sasa, Akwilina alikuwa tishio gani kwa Magufuli hadi useme kifo chake anahusika Magufuli? Kwamba Magufuli aliagiza auliwe Akwilina ndio muuwaji hakukamatwa?
Hakuna kitu kibaya kama kutetea upumbavu, unakosa hekima, akili, ufahamu na weledi na lazima ukuache kama juha.
Akwilina alikuwa ni raia wa Tanzania na alistahili ulinzi wa serikali, na jukumu la Raisi ni ulinzi wa raia.
Aliuliwa kwa risasi na polisi wa CCM kwa uzembe baada ya kutumia nguvu kubwa kwa risasi za moto kwa wanasiasa wanaotekeleza kazi yao ya kisiasa wakiwa hawana silaha yeyote.
Askari kwa kutumia risasi za moto unnecessary wakamuua Akwilina, kama hawakutumwa kutaka kuwaua wapinzani kwa nini serikali haikuwawajibisha askari waliosababisha kifo chake?
Sijui kama umeelewa maana akili yako iko preset kumtetea Magufuli basi, no more.
Picha umetoa baada ya spana mjinga wewe rudisha picha ya mungu wako, hujazungumzia chochote zaidi ya kumtetea Magufuli
 
Mzee Makamba kakosea sana...Bora aache wahuni WA mitandaoni kuropoka hayo sio yeye

Mzee alitoa boko sana..

Kuna mda alisema "shemeji" halafu akakaa kimya. Kisha akasema nna shemeji yangu pale.

Shemeji alie maanisha ni nani?
 
Suala siyo kutofautiana mtazamo, hapa tuzungumzie ukatili dhidi ya ubinadamu, je muuaji mwendazake hakufanya?
Usikubaliane na mimi kubaliana na ukweli, baada ya Magufuli vikosi vya wasiojulikana viko wapi?
Nimeuliza mara nyingi ni aina gani ya watu ambao ndio walikuwa wakiuliwa au sababu zipi zilifanya hao watu kuuliwa?
Au hakukuwa na sababu bali alikuwa anauwa tu?
 
Hakuna kitu kibaya kama kutetea upumbavu, unakosa hekima, akili, ufahamu na weledi na lazima ukuache kama juha.
Akwilina alikuwa ni raia wa Tanzania na alistahili ulinzi wa serikali, na jukumu la Raisi ni ulinzi wa raia.
Aliuliwa kwa risasi na polisi wa CCM kwa uzembe baada ya kutumia nguvu kubwa kwa risasi za moto kwa wanasiasa wanaotekeleza kazi yao ya kisiasa wakiwa hawana silaha yeyote.
Askari kwa kutumia risasi za moto unnecessary wakamuua Akwilina, kama hawakutumwa kutaka kuwaua wapinzani kwa nini serikali haikuwawajibisha askari waliosababisha kifo chake?
Sijui kama umeelewa maana akili yako iko preset kumtetea Magufuli basi, no more.
Picha umetoa baada ya spana mjinga wewe rudisha picha ya mungu wako, hujazungumzia chochote zaidi ya kumtetea Magufuli
Kwahiyo kutokuwajibishwa kwa askari waliyo sababisha kifo ndio ikafanya useme Magufuli alimuuwa Akwilina?

Tatizo unatumia hisia, huwezi kutenganisha ukweli na uongo kwa sababu unaongozwa na hisia zako juu ya Magufuli.
 
Mzee alitoa boko sana..

Kuna mda alisema "shemeji" halafu akakaa kimya. Kisha akasema nna shemeji yangu pale.

Shemeji alie maanisha ni nani?

..mke wa Mzee Makamba ni Mhaya.

..Mzee Makamba alikuwa amemlenga, au anamzungumzia, Dr.Bashiru, ambaye ni Mhaya.
 
Habari mama,

Pole sana kwa msiba wa mumeo!, alikuwa great leader na wananchi wengi wanamkumbuka kwa utumishi wake ingawa ulikuwa mfupi kuliko kiongozi yeyote aliyetawala nchi yetu.

Hiyo Pole niliyotoa ni ya kawaida kwasisi binadamu maana wote tumefiwa wapendwa wetu lakini lengo kuu ni Pole kwa unayosikia na kuona kejeli na kubagazwa kwa marehemu mume wako hadharani bila woga tena kwa mambo mengine yasiyo msingi.

Sikia mama, mume wako alitimiza wajibu wake bila kujali pale alipokosea lakini wewe u hai ubavu wake ukisikia maneno magumu sana. Pengine unalazimika kuwatia moyo watoto lakini wewe mwenyewe umebeba mzigo mzito.

Imagine hata leo maneno yaliyotamkwa mbele yako! Tushukuru mama Samia walau kutuliza moyo wako baada ya maneno magumu leo lakini sio rahisi.

Endelea kuvumilia malimwengu, endelea kuipenda Tanzania! Jipe moyo kama Bikira Maria alivyojipa moyo alivyoshuhudia mwanae akiteswa na kufa msalabani!

Endelea kujipa moyo kama Bikira Maria alivyovumilia hata waliomtenda ubaya Yesu walipoeneza uzushi dhidi yake kuwa wanafunzi wake wamemwiba hakufufuka. Haikuwa rahisi ila moja ya tunu tunayojifunza juu ya Bikira Maria mara nyingi ni yote aliyaweka moyoni!

Kasome utenzi wa Bikira Maria Luka 1: 46-55 Ukutie nguvu. All shall be well 🙏
Indeed.

It is well. Amen.
 
..mke wa Mzee Makamba ni Mhaya.

..Mzee Makamba alikuwa amemlenga, au anamzungumzia, Dr.Bashiru, ambaye ni Mhaya.

Sikiliza trend ya mazungumzo alikuwa anaongea akimlenga nani, akaja na hilo la shemeji.

Pili asingeshindwa kusema Bashiru ni shem wangu, na sidhani kama wana ukaribu wa kuitana shemeji
 
Nimeuliza mara nyingi ni aina gani ya watu ambao ndio walikuwa wakiuliwa au sababu zipi zilifanya hao watu kuuliwa?
Au hakukuwa na sababu bali alikuwa anauwa tu?
Tumia akili kidogo, mwenye dhamana anaua: je ni sheria, kanuni au ni katiba kwa Raisi kuua raia wake?
Kama kuna sababu je inahalalishwa na sheria gani kuwaua?
Mimi kama raia napoona raia wanauliwa na mamlaka natakiwa kutafuta sababu na watu wa aina gani ndio wanauliwa?
Narudia kukuambia kutetea upumbavu lazima uwe mpumbavu kuuzidi, hivi kwa hoja yako hujioni kama una mapungufu kichwani?
 
Kwahiyo kutokuwajibishwa kwa askari waliyo sababisha kifo ndio ikafanya useme Magufuli alimuuwa Akwilina?

Tatizo unatumia hisia, huwezi kutenganisha ukweli na uongo kwa sababu unaongozwa na hisia zako juu ya Magufuli.
Unajua dhamana kuu ya Raisi ni kuwalinda raia wake?
Kwa akili yako ndogo askari anaweza kumuua raia halafu akawa huru tu katika nchi inayojali uhuru na haki ya kuishi kwa raia wake?
Askari alikuwa anafanya nini hadi kusababisha hayo mauaji?
Yeye kama amiri jeshi mkuu alichukua hatua gani kuwawajibisha waliosababisha mauaji?
Tuanzie hapo kwanza maana hoja kuu kwangu ni mauaji yawe yamefanywa na yeyote, na hapa tunazungumzia yamefanywa na serikali ya Magufuli akayafumbia macho sababu ni architect
 
Tumia akili kidogo, mwenye dhamana anaua: je ni sheria, kanuni au ni katiba kwa Raisi kuua raia wake?
Kama kuna sababu je inahalalishwa na sheria gani kuwaua?
Mimi kama raia napoona raia wanauliwa na mamlaka natakiwa kutafuta sababu na watu wa aina gani ndio wanauliwa?
Narudia kukuambia kutetea upumbavu lazima uwe mpumbavu kuuzidi, hivi kwa hoja yako hujioni kama una mapungufu kichwani?
Kuwa muelewa, unachoeleza ni tuhuma hujawahi kuthibitisha na ndio nilikwambia pia kuwa hata Magufuli hakuwahi kukiri kuwa ni kweli nauwa raia. Sasa mimi najaribu kuchambua hizo tuhuma zako ila wewe unachukulia unachoeleza kama kitu kilichothibitika yani kipo kama unavyoeleza.

We unadai Magufuli alikuwa anauwa raia wake, ndio unijibu ni watu gani waliyokuwa wanauliwa na Magufuli au ni sababu zipi zilizokuwa zinafanya Magufuli hadi auwe hao raia?

Nauliza hivyo kwa sababu kuna watu wanadai walikuwa wanaishi kwa hofu kuoga kuuuliwa na Magufuli, lakini wengine hawakuwa wakiishi kwa hofu kuogopa kuuliwa na Magufuli. Ndio maana nauliza sababu za mauwaji?
 
Mh. Makamba baba yake January kasema kuwa Kinana na Kikwete hawajafa maana watu wabaya huwa wanakufa akimaanisha Dkt Magufuli alikuwa mtu mbaya ndiyo maana alikufa, Mkapa alikufa kwa sababu alikuwa mtu mbaya, Mwl Nyerere alikufa kwa sbabau alikuwa mtu mbaya, Mzee Karume alikufa kwa sababu alikuwa mtu Mbaya, Horace Kolimba alikufa kwa sababu alikuwa mtu Mbaya …..
Usimuwekee maneno.
Hakutaja jina.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuwa muelewa, unachoeleza ni tuhuma hujawahi kuthibitisha na ndio nilikwambia pia kuwa hata Magufuli hakuwahi kukiri kuwa ni kweli nauwa raia. Sasa mimi najaribu kuchambua hizo tuhuma zako ila wewe unachukulia unachoeleza kama kitu kilichothibitika yani kipo kama unavyoeleza.

We unadai Magufuli alikuwa anauwa raia wake, ndio unijibu ni watu gani waliyokuwa wanauliwa na Magufuli au ni sababu zipi zilizokuwa zinafanya Magufuli hadi auwe hao raia?

Nauliza hivyo kwa sababu kuna watu wanadai walikuwa wanaishi kwa hofu kuoga kuuuliwa na Magufuli, lakini wengine hawakuwa wakiishi kwa hofu kuogopa kuuliwa na Magufuli. Ndio maana nauliza sababu za mauwaji?
Narudia kusema wewe kichwa unafugia nywele. Hebu niambie kuna walioliwa na kutekwa na wasiojulikana wakati wa utawala wa bwana yule au hakuna?
 
Kutekwa au kuuwana ni uhalifu ambao upo katika awamu zote mkuu, tunachozungumzia hapa ni hizo tuhuma za kwamba katika awamu ya tano Mugufuli ndio alikuwa anauwa na kuteka.
 
Awamu ipi wapinzani walishambuliwa kwa risasi kama Lissu, na kinondoni?
Awamu ipi walitekwa na tukawasikia wasiojulikana?
 
Katika awamu ya nne Chadema washapigwa hadi mabomu we unashangaa risasi tu.
Hivi wahusika walikamatwa? Sikumbuki vizuri.

Ila pia 2001 na huko zanzibar cuf walipigwa risasi na watu wakafa pakachafuka hadi wazanzibari wakakimbilia huku bara.
 
Back
Top Bottom