Special kwa wanawake wa JF: Ni kitu gani hupendi kutoka kwa mwanaume?

A man who doesn't look good, smell good, who doesn't make me want to make a snack of him is a total waste of time.

Yaani unakuta mwanamme hatembei vizuriiii, mchafu minywele kama msukule, kucha kama alien jamani, viatu vichafu halafu vimechongoka kama wale mafundi wa Tanesco wa kukwea nguzo.

Hapo pa kutembea mwanamme anatakiwa atembee vizuri jamani mpaka ujiambie yes. Kidume kile yaliyomo yamo.

Mwanamme lazima apeleke mawazo kwingine mpaka ukijistukia unabaki unaona aibu mwenyewe tu. Lol
Kwani lzm utuseme wa kwea nguzo jmn ..sasa apo kosa letu nini
 
Babu comments zako huwa zinanichekesha sana..
Ni vile tu sijawahi kukuambia.
Aaaah vibaya hivyo

Uwe unaniambia basi, maana navyopendaga misifa... iko siku ntaenda kumwaga kojo katikati ya uwanja wa Mkapa ili game la Simba na Yanga likisogezwa muda, Gari la Yanga lidedi wakiwa wameshafika uwanjani...

Bai the wei, uliacha kukojoa kitandani ukiwa na umri gani? Hakyamama hakuna mkojo mtamu kama wa kukojoa kitandani...

Mungu atunusuru isije ikawa ilikuwa dhambi
 
Back
Top Bottom